Ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehem ya ndani na nje ya tundu la haja kubwa na wakati mwingine hutuleza au kutoa damu wakati wa kutoa haja kubwa Mara nyingi tatizo hili huwapata watu kuanzia umri wa miaka 22-50 AINA ZA BAWASIRI A:BAWASIRI NDANI Hii hutokea ndani katika mshipa wa haja kubwa wa ndani Hutokea pale haja kubwa ikatishwapo na kurudi ndani wakati wa kujisaidia B:BAWASIRI NJE Hii hutokea eneo la nje la tundu la haja kubwa na huambatana na maumivu makali au kuwasha sehem hii ya tundu la haja kubwa Hivyo kupelekea mishipa ya damu kuvuja na kutengeza uvmbe katika tundu la haja kubwa au kuvuja damu katika eneo hilo la haja kubwa CHANZO CHA UGONJWA HUU -Kufanya mapenzi kinyume na maumbile -Kuharisha kwa mda mrefu -Tatizo la kutopata choo laini au kujisaidia kinyesi kigumu -Tatizo la umri mkubwa -Uzito kupita kiasi -Matumizi ya vyoo vya kukaa DALILI ZA UGONJWA HUU -Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa ...