Ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehem ya ndani na nje ya tundu la haja kubwa na wakati mwingine hutuleza au kutoa damu wakati wa kutoa haja kubwa
Mara nyingi tatizo hili huwapata watu kuanzia umri wa miaka 22-50
AINA ZA BAWASIRI
A:BAWASIRI NDANI
Hii hutokea ndani katika mshipa wa haja kubwa wa ndani
Hutokea pale haja kubwa ikatishwapo na kurudi ndani wakati wa kujisaidia
B:BAWASIRI NJE
Hii hutokea eneo la nje la tundu la haja kubwa
na huambatana na maumivu makali au kuwasha sehem hii ya tundu la haja kubwa
Hivyo kupelekea mishipa ya damu kuvuja na kutengeza uvmbe katika tundu la haja kubwa au kuvuja damu katika eneo hilo la haja kubwa
CHANZO CHA UGONJWA HUU
-Kufanya mapenzi kinyume na maumbile
-Kuharisha kwa mda mrefu
-Tatizo la kutopata choo laini au kujisaidia kinyesi kigumu
-Tatizo la umri mkubwa
-Uzito kupita kiasi
-Matumizi ya vyoo vya kukaa DALILI ZA UGONJWA HUU -Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
-Kujitokeza kwa uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
-Kujitokeza kwa kijinyama katika tundu la haja kubwa
Kujisaidia kinyesi chenye damu na kunuka kwa harufu mbaya sana MADHARA -Kupata upungufu wa damu
-Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa
-Kutopata hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke -Kuathirika kisaikolojia
-Kukosa ari ya kufanya kazi na kutojiamini katika hadhara ya watu
JINSI YA KUEPUKA
-Kutumia matunda na mboga za majani katika mlo
-Kunywa maji ya kutosha wakati na baada ya mlo
-Epuka kukaa chooni kwa mda mrefu
TIBA YAKE HOSPITALINI
Ugonjwa huu tiba yake ni kukukata uvimbe uliojitokeza katika tundu la haja kubwa
Lakini tiba hii si nzuri sana kwani hupelekea kujirudia tena kwa uvimbe pale mgonjwa akosapo kinga tosha
Pia hupelekea maumivu makali kwa mgonjwa
TIBA MBADALA
Tiba ya ugonjwa huu imepatikana
Dawa hizi zinatoa sumu zote zilizopo katika mwili kuondoa vimelea vya ugonjwa huu
Pia huzuia utokaji wa damu na pia kuondoa uvimbe na misho yote ijitokezayo katika tundu hili la haja kubwa
BAWASIRI NI UGONJWA HATARI KAMA HUTOUCHUKULIA HATUA YA TIBA MAPEMA

-Matumizi ya vyoo vya kukaa
DALILI ZA UGONJWA HUU -
Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa

Comments
Post a Comment