Kila mwanaume amezaliwa na tezi dume. tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo kama viungo vingine mwilini. tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wz mwanaumekatika shingo ya kibofu cha mkojo.
kazi yaske kubwa ni kutengeneza majimaji ya uzazi wa wa mwanaume, 9shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye korodani; na husaidia mbegu za kiume zilizo kubaki hai kwa muda unaostahili
Tatizo linakuja kiungo hikli kinapo anza kutanuka. kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalo wakumbawanaume wengi. Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wanadalili za kutanuka kwa tezi dume.
.
Ukuwaji wa tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya
kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitishia mkojo na mbegu za kiume. tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali ilikua ni miaka zaIDI YA 50
Takwimu kutoka katika shirika la CHRP (Center for human right promotion) zinaonesha kwamba kiujumla kila mwanaume klatika maisha yake ana 16% ya kugundulika na saratani ya tezi dume mtu mmoja kati ya watu 6 anaye hili tatizo; 3% (1 kati ya 33) wanakufa kwasababu ya saratani ya tezi Dume.
Saratani hii inauwa mwanaume 1 kila baada ya dakika 13
ii.VYANZO VINAVYO PELEKEA KUTANUKA KWA TEZI DUME
Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekua kwa kasi kubwa sana hii ni kutokana na mitindo ya wanaume wengi wanayoishi. pia na elimu ndogo ilioko kwenye jamii kuhusu afya zao.
vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume
-ukosefu wa lishe kamili na virutubisho muhimu mwilini
-uwepo wa sumu nyingi mwilini
-kutokufanya mazoezi
matumizi ya pombe kali na uvutaji wa sigara
-uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri na kitambi)
-kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili ( hormone imbalance)
-msongo wa mawazo (stress)
-magonjwa ya zinaa
-umri mkubwa
-upasuaji wa korodani moja
-Historia ya familia (urithi)
-M azingira
II.DALILI ZA KUTANUKA KWA TEZI DUME
Mpaka mtu apate saratani ya tezi dume (Prostate cancer), ujue umekaa natayizo hilo kwa muda mrefu sana, sio chini ya miaka isiyo pungua kumi (10) .... hii ni kutokana na mrundikano wa mkojo unaobaki kwenye kibofu na kwenye mrija wa mkojo (urethra) wakati unakojoa, ukiendelea KUJIRUNDIKA KWENYE KIBOFU na kwenye mrija baada ya muda unazalisha "uric acid" au ndio inatengeneza saratani (cancer).
Saratani zipo stage nne 4 ... yakwanza na ya pili ukiwahi unaweza ukapona ; lakini ikishafika stage ya 3 na 4 hazitabiliki,.. unasaidiwa kupunguza makali kwa mionzi ukijitayarisha kupoteza maisha... muda wowote!!
Hivyo ukiona moja ya dalili moja wapo kati ya hizi chukua hatua na tahadhari mapema kabla hujaaribu mfumo wako mzima wa uzazi wa mwanaume.
a)Dalili za awali
-kukojoa mkojo uliochanganyika na damu
-kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
-maumivu kwenye mfumo wa mkojo
-kuhisi maumivu wakati wakukojoa
-kuhisi kibofu kimejaa mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena
-homa
-kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku
b)dalilio za mtu alie athirika
-maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu
-miguu kuwa dhaifu
-kushindwa kumudu tendo la ndoa au kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa
- kushindwa kuzuia mkojo pindi unapo hisi kukojoa
-kushindwa kuzuia haja kubwa ( kinyesi ch majimaji)
-tumbo kujaa gesi
III. MADHARA YA TEZI DUME ILIYO TANUKA
Katika hatua za awali, tezi inapotanuka hugundulika kwa kupimwa kwa njia ya kidole.
hii ni njia ambay dactari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini kama tezi imetanuka. kipimo hiki ndicho kirahisi kinacho kubalika kote duniani na kisicho na gharama. lakini kimekua kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni uzalilishaji.
kipimo kingine ni kipimo cha damu. damu huchunguzwa aina
ya protein inayo zalishwa na seli za tezi dume, kiitwacho Prostate Antigen (PSA). PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutosha wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.
Yafuatayo ni madhara ya tezi dume iliyo tanuka
-kibofu cha mkojo kuuma: hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na ini... nk.
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (ndoa zinavunjika)
-ugumba (infertility, frigidity for men)
-kifo
IV.SULUHISHO KWA TEZI ILIYO TANUKA
a) Watu wengi hukimbilia hospital pindi wanapo patwa na madhara ya tezi dume na kujikuta waki pewa tiba ambazo zinaficha tatizo hilo kwa muda mfupi na kisha hujirudia tena kwa kiasi kikubwa
Tezi iliyo tanuka haiwezi kutibika kwa njia za madawa yenye makemikali au mitishamba lakini madawa au upasuaji hupunguza maumivu ya dalili na kuzifanya zisizidi sana ..
kuna njia 3 za kudhibiti tezi iliyotanuka
1.kusubiri na kufuatilia kwa ukaribu na dactari
2.Madawa
3.Upasuaji
Inashauriwa kwamba kwa tatizo hili ni bora kuendelea kulichunguza bili kukimbilia tiba kali kama madawa , upasuaji na tiba ya kikemikali, mpaka pale mtu atakapoona hakuna njia mmbadala.
"Baadhi ya madawa wanayo pewa wagonjwa wa saratani ya tezi dume yaligunduliwa miaka 30 iliyopita yana sababisha athari kwenye ini, Moyo na kuvimbisha magoti, yamepigwa marufukuu hasa kwa nchi za ulaya"
- -Johnathon Waxman, cancer specialist, Hammer Smith Hospital, London
Njia hii ambayo madactari hutumia inapelekea 70% ya wagonjwa kuwa mahanisi baada ya upasuaji, na 40% kuwa wanashindwa kuzuia mkojo kutoka wanapo banwa na haja ndogo
-Johnathon Waxman
Inasikitisha kuona wanaume wanapasuliwa bila uhakika wowote kwamba huo upasuaji utakua na manufaa.
b)Suluhisho la kudumu (Bora)
- kula mboga mboga na matunda kwa wingi kulingana na kundi la damu yako.
- Punguza au acha kuvuta sigara
- punguza au acha utumiaji wa pombe kali
- punguza kukaa masaa nane kwa siku . fanya mazoezi kwa wingi.(sitting is a new smock)
- kutovaa nguo za kubana
- vaa chupi za cotton na siyo material yeyote
- kuhakikisha uume uwe una erect mara kwa mara
- na cha mwisho ambacho ni muhimu kuliko vyote ni utumiaji wa virutubisho (supplements) tyezi dume inatanuka kwa sababu ya upungufu wa madini na virutubish mwili unavyohitaji.
watu wenye changmoto hii ya kutanuka kwa tezi dume na mfumo wa uzazi wa mwanaume, kampuni tumewaandalia program ya lishe kamili na virutubisho m,uhimu.. bidhaa hizii siyo dawa wala mitishamba, zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika miili yetu inavyo hitaji ili iweze kutengeneza yenyewe afya bora na nadhifu.
hizo bidhaa zina mchanganyiko wa vitu vifuatavyo; protein, vitamin, mineral,essential fat, acid and trace minerals. pia programu zetu za lishe zimethibitishwa na mashirika ya kudhibiti ubora wa viwango duniani. na kwa hapa tanzania zimethibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa (TFDA). tunapatikana victoria, dar se salaam (HEAD QUATERS)_
kwa yeyote anae hitaji program hii ya kuboresha na ushauri wa kuimarisha afya yake ya tezi dume na mfumo mzima wa uzazi wasiliana na mtaalamu wetu. kupata mafunzo zaidi kuhusiana na afya ya mwanaume 0745855427
Comments
Post a Comment