Familia nyingi zina changamoto ya mfumowa uzazi. Leo hii tunaendelea kuzungumzia mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume hususani, upungufu wa nguvu za kiume . takwimu zinaonesha kati ya wanaume 10 miongoni mwao 7 wana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. tatizo hili linazidi kuongezeka kwa kasi kubwa, na linawakumba sana watu wazima kuanzia umri wa miaka 35- 75+.
kuna aina 3 za upungufu wa nguvu za kiume .
-shahawa (sperm) hazina uwezo wa kutunga mimba.
-ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa. ikitokea umepata hamu hata idogo shahawa zinawahi kutoka. wengine wanapata hamu ya tendo la ndoa lakini hawatoi shahawa.
-uume kuto kusimama (mashoga)
!!. Chanzo cha matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume
Upungufu wa nguvu za kiume siyo ugonjwa bali ni kama indicator inayoonesha kwamba kuna baadhi ya viungo vya mwili wa binabamu ambavyo vinavyo husika Na nguvu za kiume havifanyi kazi vizuri. Baadhi ya hivyo viungo vinavyo husika na nguvu za kiume ni mvyen kwenye viungo hivi ndiyo vinapelekea moja kwa moja mtu kupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
hivi ni baadhi ya vitu vinavyo sababisha viuvyo taja hapo juu kutofanya kazi vizuri na baadae kusababisha matatizo mbali mbali vikiwemo vifo.
kuwa makini na vitu vifuatavyo:
- uvutaji wa sigara, na utumiaji wa dawa za kulevya
- pombe(aina yeyote)
- Masturbation (kujichua, au kupiga punyeto)
- Kula vyakula vyenye kuharibu mfumo wa mmeng'enyo wa chakula (digestive systerm). huu mfumo ukiharibika unasababisha damu kutosafirishwa vizuri mwilini
- uzito mkubwa au kitambi
- Tatizo la kutopata choo vizuri (constipation)
- tatizo la tezi dume
- Matatizo ya moyo
- Kisukari (Diebetes)
- Stress, pressure,cholesterol
- Hormone imbalance
- Kukaa kwa muda mrefu
- kutumia sana madawa yenye kemikali (HOSPITAL) hapa unatakiwa kuwa makini na kukumbuka kwamba miili yetu haijaumbwa kwaajili ya madawa ya kikemikali, miili yetu iliumbwa ili iweze kujitengenezea kinga kupitia vyakula tunavyo kula vyenye lishe na virutubisho. siyo madawa ya kikemikali au mitishamba.. tunaenda hospitalini kwakuwa haora na ujiepushe na kama wewe unahitaji kuwa na afya bora na ujiepushe na magonjwa mbalimbali, unashauriwa kujenga utaratibu wa kuupatia mwili wako lishe kamili na na virutubishpo muhimu
!!!.Dalili za upungufu wa nguvu za kiumeNa tunapoongelea suala la upungufu wa nguvu za kiume tunamaanisha:
- Kukosa hamu ya tendola ndoa
- kukosa pumzi
- uwezo wa kushindwa kurudia tendo la ndoa
- uume kusimama kwa ulegevu
- kuwahi kufika kileleni
- kuchelewa sana kufika kileleni: ukizidi kuchelewa sana mwenzako anapata maumivu makali sana na kuanza kujuta japo hata kuambia kwa sababu ni aibu kwake; na wewe pia hutofurahia tendo la ndoa. utaathirika kisaikolojia kwa njia moja au nyingine
- Kuchoka sana baada ya tendo au kujisikia kichefuchefu, wakati mwingine wengi huwa wanajihisi kutapika

iv.madhara ya upungufu wa nguvu za kiume
kabla hatujaenda kutiririka baadhi ya madhara yanayo tokana na upungufu wa nguvu za kiume, kuna vitu muhimu sana kwa wanandoa au wapenzi wanastahili kujua.
Mwanamke ni kiumbe cha ajabu sana na aliumbwa na uwezo wa kuweza kukojoa zaidi ya mara 5, endapo wewe utaweka sawa afya yako na kujua ni vitu gani unastahili kufahamu. ili mwanamke akojoe kwa mshindo wa kwanza ni lazima uume wako uweze kusimama angalau dakika 5--10 ukiwa unachezesha uume wako kwenye mashavu ya uke.
wanawake wanapenda sana kuchezewa kwenye mashavu ya uke kwa kutumia uume siyo vinginevyo. wanaume wengi wanashindwa kuwaridhisha wenzia ukweli thabiti ni huu: endapo unakuwa na afya nzuri ya mfumo wa uzazi utaweza kusimamisha uume wako na kumridhisha kiurahisi bila kutumnyingi kwa kila mshindo. hivyo basi usihangaike kwenda kwa waganga (kalumanzira), mashekhe, makanisani kuombewa, kwasababu suala zima ni kwamba unajali vipi afya yako?

Mfumo wako wa uzazi ukiwa haufanyi kazi vizuri utapata madhara yafuatayo:
- dharau
- kushindwa kumridhisha mwanamke hili ni tatizo linalopelekea kutoka nnje ya ndoa na baadae kuachika
- kushiondwa kupata mtoto
- kushindwa kupata ladha kamili ya tendo la ndoa
- uume kusimama kwa ulegevu
- fujo kila kukich. shida hamzitatui kama watu wazima na mara nyingi hamuelewani hata kidogo. wengine wanaenda makanisani kwa mashekhe ili wapate suluhisho la ndoa zao
- kutoka nje ya ndoa (jinsia zote mbili) vitu unavyoenda kutafuta havieleweki, havina msingi, bali unakaribisha matatizo juu ya mengine
- ndoa kusambaratika na kuranda randa kila sehemu. unajishushia heshima mwenyewe bila kujitambua.
- uume kusinyaa na kupoteza ubora na ukakamavu

![]() |
by cris bruno |
Miili yetu ni sawa na kiwanda. kiwandani kuna vitu vingi sana: kuna mashine, wafanya kazi, umeme, maji.... nk kinapo kosekana kimoja kati ya hivyo kiwanda hakiwezi kufanya kazi vizuri ndivyo hivyo miili yetu tukija kwenye upande wa nguvu za kiume nguvu za kiume ni kiwanda.
Comments
Post a Comment