By Criss Bruno - March 18, 2019 2 511 Ukiwa kama mwanaume rijali mpenzi wako anategemea kufurahia tendo la ndoa kutoka kwako mnapokuwa pamoja kitandani. Anahitaji kukuona wewe kama ndiye mtu pekee ambae unaweza mridhisha na kumfikisha pale yeye anapohitaji wakati wa tendo la ndoa. Mwanzoni mwa mahusiano mambo huwa sawa lakini baadae mambo huanza kubadilika taratibu. Hali hii kwa wenine huweza kujitokeza kwasababu labda kwasababu ya ubize sana katika kazi hali inayopelekea kukosa hamu ya tendo, Kutokula vizuri na wakati mwingine kupitisha mlo bila kula vizuri hivyo mwili kukosa virutubisho muhimu vya kujenga afya ya uzazi, Matatizo ya homoni kutokuwa vyema(Hormonal imballance), Mwili kuwa na taka mwili nyingi(sumu) / Kuwa na mafuta mengi mwilini na kitambi, sababu za kiumri za umri hali ambayo mwili hupelekea kupungukiwa kwa baadhi ya virutubisho muhimu katika afya ya uzazi na pia kuwa na changamoto za ki...