Skip to main content

ONDOA CHANGAMOTO YA UZAZI NA NGUVU ZA KIUME KWA NJIA HII BORA NA ASILI.








2
511

Ukiwa kama  mwanaume rijali  mpenzi wako anategemea kufurahia tendo la ndoa kutoka kwako mnapokuwa pamoja kitandani.

Anahitaji kukuona wewe kama ndiye mtu pekee ambae unaweza mridhisha na kumfikisha pale yeye anapohitaji wakati wa tendo la ndoa.

Mwanzoni mwa mahusiano mambo huwa sawa lakini baadae mambo huanza kubadilika taratibu. Hali hii kwa wenine huweza kujitokeza kwasababu labda kwasababu ya ubize sana katika kazi hali inayopelekea kukosa hamu ya tendo,  Kutokula vizuri na wakati mwingine kupitisha mlo bila kula vizuri hivyo mwili kukosa virutubisho muhimu vya kujenga afya ya uzazi,  Matatizo ya homoni kutokuwa vyema(Hormonal imballance), Mwili kuwa na taka mwili nyingi(sumu) / Kuwa na mafuta mengi mwilini na kitambi,  sababu za kiumri za umri hali ambayo mwili hupelekea kupungukiwa kwa baadhi ya virutubisho muhimu katika afya ya uzazi na pia  kuwa na  changamoto za kiafya ambazo hupelekea mtu kuwa katika dozi fulani kwa mda mrefu kama kisukari,pressure n.k na hivyo kuathiri mfumo wa afya ya uzazi.

Hivyo kwasababu ya mojawapo ya changamoto hizoinapelekea kushindwa kufanya vyema wakati wa tendo na kutomrisha kabisa mwenza wako na kumfanya kutokuwa na imani nawe au nanyi pia kuto aminiana.

LAKINI LIPO SULUHISHO.

Rudisha ubora wako katika tendo la ndoa kwa kutumia virutubisho vyenye ubora wa kiwango cha juu kutoka Forever Living Natural Supplement, ambavyo ni virutubisho bora sana kwasasa Duniani.

Hivi sio Viagra.
Ni virutubisho bora na asili ambavyo vimewekwa katika ubora wake vikiwa na kiwango kikubwa cha nutrients ambazo ni muhimu katika Afya ya uzazi wa mwanaume. Kwa mwanaume ambaye ypo fit pia anashauriwa kutumia kwaajili ya kuendelea kuboresha afya yako ya uzazi pia.
Here comes natural products
1.








2.







g1









FAIDA ZA MULTI MACA:
✅Kuongeza nguvu,stamina,kiwango cha uzalishaji mbegu na mfumo wa uzazi.








✅Kuweka sawa homoni
✅Kuimarisha kinga ya mwili na uzalishaji seli katika mwili.
✅Huboresha Changamoto za uzazi na ugumba (utasa)
✅Huboresha Changamoto za kuwahi kileleni kabla ya tendo au wakati wa tendo
✅Powerful Aphrodisiac for Men & Female.
✅Kuongeza hamu ya tendo la ndoa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.
✅Kuondoa uchovu na hali ya mwili kuchoka.
✅Kuboresha mfumo wa kibofu na kuimarisha kinga dhidi ya U.T.I na matatizo yote ya mfumo wa kibofu na mkojo.




 Maswali yanayoulizwa mara kwa mara.
Je bidhaa hizi hazina madhara?  (Are there any side effects?)
Hakuna madhara yoyote unayoyapata unapotumia. Bidhaa zetu ni virutubisho asili visivyo na kemikali hatarishi kwa mtumiaji, hivyo vinafaa kutumiwa na mtu yeyote. Mwenye changamoto kwaajili ya kuondoa changamoto yake na asiye na changamoto kwaajili ya kuboresha zaidi mfumo wake wa afya ya uzazi. Na kwa mtu ambaye yupo katika hatua mbaya zaidi za ugonjwa ni vyema kumwona Daktari wake kwa ushauri zaidi kabla hajaanza kutumia virutubisho hivi.

(There are NO SIDE EFFECT when using our  NATURAL FOOD  SUPPLEMENTS .Our nutritional supplements are non-hormonal and non-habit forming and can be used as often as you’d like. If you have any serious medical conditions or are currently on other medication, you should check with your doctor first.)
Je nawezaje kupata bidhaa?  (How Can I Get The Complete Kit?)
Ili kupata bidhaa wasiliana moja kwa moja na Ndugu, CRISS  BRUNO  Kwa namba +255677563241 / +255745855427 atakupa mwongozo wa kuzipata. Lakini pia waweza mpa maelekezo ni sehemu gani unahitaji kufikishiwa bidhaaa zako na kwa siku gani kwa kumtumia ujumbe. 
(All you simply need to do is to contact MR CRISS BRUNO  +255677563241/ +255745855427. You can also send your name, address, phone number and also your choice date of delivery as an SMS.)
Sababu 3 muhimu za kwanini uzipate bidhaa kutoka kwa  BRUNO
  1. Utaelekezwa hatua kwa hatua jinsi ya kupata matokeo mazuri.  (I will Coach you step by step on how to get effective result.)
  2. Utapata mwongozo mzuri wa muda wa kutumia bidhaa na hii utaipata mapema sana utakapopata bidhaa zako.  (I have a unique time table for you on the usage of the products and this will be sent to you after product purchase.)
  3. Utapata support 24/7 kwa  pale uatakapohitaji kuipata. (24/7 support system will be provided.)
JINSI YA KULIPIA ILI KUPATA BIDHAA. 
(Here Is How To Order For  and GET  Your PRODUCTS ?)
Kupata bidhaa au kuweka order yako ya bidhaa unaweza piga simu kwa namba +255677563241 /  +255745855427 au kufika Ofisini Makao makuu hapa Victoria, Dar es salaam na ukapata bidhaa zako.
Hatupokei Cash, Malipo hufanywa kwa njia za MPESA , TIGO PESA, NMB Katika namba za akaunti za kampuni.

Kwa watu waliopo Dar es salaam maeneo ya karibu bidhaa waweza kufikishiwa ulipo bila gharama yoyote ya kusafirishia.

Kwa watu waliopo nje ya Dar es salaam utapata bidhaa ndani ya saa 24.

(To order you can either  call or visit  our Tanzania headquarters office in  Victoria, Dar es salaam   and get your pack. We do not accept cash.Payments  are done via MPESA , TIGO PESA , NMB  company’s account.The near by places, we do delivered for free. 
We deliver  to towns outside Dar es salaam, within 24 hours.
If you have any question about this outside the information given on this website already, Kindly Put a call Across to.
It’s your time to move on with your life and get back your self-confidence.It’s all in your hands. You have the ability to have the confidence to get any woman you want, to please her, to keep her. But you have to take that leap.)
This is a time-tested, proven solution that really works, guarantee

Huu ni wakati wako sahihi wa kuboresha afya yako na kuirudisha furaha katika mahusiano yako na mwenza wako hasa katika kudumisha upendo na penzi lililo imara na salama.

HILI NI SULUHISHO SAHIHI AMBALO LIMETHIBITISHWA KUKIDHI MAHITAJI YA MTUMIAJI NA KUPATA MATOKEO BORA NA SAHIHI.

UNAHITAJI KUPATA MWONGOZO KUPITIA WHATSAPP?








Comments

Popular posts from this blog

PUNGUZA UZITO | KITAMBI | NYAMA ZEMBE | NA JENGA MISULI KWA NJIA HII BORA NA SALAMA

By   Crispine  Bruno  - March 21, 2019 0 244 The Clean 9 Program can help you jumpstart your journey to a slimmer, healthier you. This effective, easy-to-follow cleansing program will give you the tools you need to start transforming your body today. Over the next 9 days, you can expect to look better and feel better and begin to eliminate stored toxins that may be keeping you from absorbing the maximum nutrients in your food. You’ll also begin to feel lighter and more energized as you prove you can take control of your appetite and see your body begin to change. Welcome and congratulations for taking charge of your health. I salute you! Your transformation has just began. Am proud and excited for you!? Clean 9 (C9) is a 9 day cleansing phase which is part of the Fit programme from Forever Living Products (USA) which has been here since 1978 giving amazing, highly effective and internationally u...

FAHAMU KUHUSU TEZI DUME NA NJIA ZA KUEPUKANA NAYO.

  Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo kama viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo.  Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili. Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.  Takwimu zinaonesha kwamba kati  ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.   Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume. Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali li...

EPUKA CHANGAMOTO YA MENO KUTOBOKA |KINYWA KUTOA HARUFU MBAYA | FIZI KUTOA DAMU | NA MENO KUOZA KWA KUTUMIA NJIA HII BORA NA SALAMA.

By  Criss  Bruno  - April 30, 2019 0 212 UMESHAWAHI KUJIULIZA MASWALI HAYA? 1. Kwa nini meno yanauma wakati mwanzo hayakuwa yanauma? 2. Kwa nini unang’oa jino kisha tatizo lilelile linahamia jino lingine?? 3. Kwa nini kinywa chako hata ukipiga  mswaki bado unatoa harufu mbaya? 4. kwa nini ukipiga mswaki fizi zinatoa damu? Meno  ni muunganiko wa mfupa wa jino, Fizi na Mishipa. Mara nyingi watu wengi huwa pale wanapoumwa na jino wanakimbilia kung’oa jino eti dawa ya jino kuling’oa jambo ambalo si kweli. Tambua, unapoenda King’oa jino, unang’oa mfupa wa jino ila maradhi umeyaacha ktk fizi na mishipa ndani ya kinywa. Fahamu kuwa kwenye kinywa cha mwanadamu kuna bakteria wanaoishi mdomoni wanaitwa NORMAL FRALER. Bakteria hawa ndio wanaotengeneza ute wenye Acid unaolainisha chakula kwa haraka mdomoni. Lakini wanasababisha ugonjwa unaoitwa GINGIVAITES, ugonjwa huu husababisha fizi kutoa damu haswa unapopiga mswaki, lakini ukiachw...