Skip to main content

FAHAMU NJIA SALAMA YA KUBORESHA AFYA YA UZAZI NA NGUVU ZA KIUME.













 

Tatizo la uzazi na nguvu za kiume limekuwa likiwasumbua wanaume wengi na limekuwa ni chachu ya kuvunjia kwa ndoa nyingi. Japokuwa tatizo hili linatatulika na mtu akarejea katika hali yake ya kawaida, wanaume wengi wamekuwa wakiona aibu kueleza wazi changamoto yao ili kupata ufumbuzi wa matatizo yao.

 Kupungukiwa kwa nguvu za kiume hutofautiana toka mtu mmoja hadi mwingine. Inaweza kuwa ni kujumuisha hali ya kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume au hali ya kutokuwa na uwezo wa kufika kileleni kwa muda mzuri na wa kutosha,kushindwa kwa uume kudumu kusimama barabara kwa ajili ya tendo la ndoa au kuwahi kufika kileleni mapema.

 Hatari ya kupungukiwa nguvu za kiume huongezeka kutokana na umri. Kulingana na tafiti za kitabibu,Mfumo wa maisha wa sasa umepelekea wanaume wenye umri kuanzia miaka 35 na kuendelea tatizo hili kuwa ni kubwa kwao kuliko vijana wa umri wa chini ya miaka  35.
JE NINI SULUHISHO LA TATIZO HILI?
Ili kuongeza stamina kwenye mapenzi wanaume wengi wamejikuta wakiingia katika kutumia madawa makali kama viagra au vilevi vikali. 
Madawa na pombe hukupa nguvu zinazoisha kwa muda mfupi, lakini hukuletea madhara makubwa yatakayokuandama kwa muda mrefu zaidi wapo ambao wamejikuta wakiingia katika addiction ya kutoweza kushiriki tendo mpaka watumie.
Njia hizo si salama japokuwa zitakupa matokeo ya haraka lakini huleta madhara ya muda mrefu pia.
 SULUHISHO BORA.
 Ni muhimu kuzingatia vyakula au virutubisho vinavyoweza kukuongezea stamina na kujenga mwili wako vizuri na kukupa uwezo wa kufanya mapenzi vizuri zaidi bila kutumia “booster”.
” Virutubisho lishe ni suluhishi maridhawa na asilia kwenye kila kitu maishani mwako”
VIRUTUBISHO MAALUMU KWA AFYA YA UZAZI
FOREVER MULTIMACA  and FOREVER ARG PLUS.
Forever Multimaca ni kirutubisho bora na muhimu kinatokana na mmea uitwao maca au Lepidium Meyinii kutoka nchini peru wenye historia zaidi ya miaka 2000 hasa katika kuongeza stamina ya mwilini.
Haina madhara na ina faida kubwa sana kwa wanaume na wanawake. Wanaume wa Peru wanatumia maca kuanzia wakiwa na umri wa miaka kumi na moja ili wawe na nguvu na stamina, na zaidi ni ktika kuboresha mfumo wa uzazi na uwezo wa kusababisha ujauzito na kuweka sawa mifumo ya homoni.
Ina protein nyingi katika mfumo wa amino acids na virutubisho muhimu vinavyosaidia kazi ya kuamsha ishara za hamu ya tendo la ndoa.
Bidhaa hii sio Viagra.
Ni virutubisho bora na asili ambavyo vimewekwa katika ubora wake vikiwa na kiwango kikubwa cha nutrients ambazo ni muhimu katika Afya ya uzazi wa mwanaume. Kwa mwanaume ambaye yupo fit pia anashauriwa kutumia kwaajili ya kuendelea kuboresha afya yako ya uzazi pia.






g1



JINSI ZINAVYO  FANYA KAZI.
Kadri umri unavyoongezeka na kuwa na stress za mara kwa mara endocrine system hupunguza uzalishaji wa homoni katika mwii hivyo unakuwa ahuna homoni za kutosha hasa katika mfumo wa uzazi ambazo huwa zinasaidia kuwa imara katika tendo la ndoa.
hali hii hupelekea kukosa nguvu na stamina [Physical strength]
Hivyo basi MULTI MACA huziamsha Hypothalamus na Pituitary gland  to reset mwili wako.
Hivyo Endocrine glands  ( testes,ovaries,pancreas,thyroid) zinaanza kuzalisha homoni kwa kiwango cha kutosha na kuupa mwili nguvu na stamina kama kijana mwenye stamina na nguvu za kutosha. 
Matokeo ya Forever Multi- Maca
Matokeo makubwa ya Multi maca ni Kuongeza hamu ya tendo la ndoa,  Stamina  na kukufanya uwe na nguvu ya kutosha wakati wa tendo la ndoa na baada ya tendo la ndoa.
Matokeo mengine ni kama vile;
  • Husaidia kuboresha mfumo wa homoni na kuondoa  changamoto zitokanazo au zinazosababishwa na kutokuwa sawa kwa homoni mwilini.
  • Ina stimulate kiwango cha uzalishaji mbegu na mifumo ya uzazi hivyo ni muhimu sana katika kuboresha changamoto za kutotungisha mimba.
  • Ina ongeza nguvu na stamina. (It stimulates the central nervous system and reduces neurological problems.)
  • Husaidia kuimarisha mishipa ya uume na kuondoa hali ya kulegea au kusinyaa wakati na baada ya tendo la ndoa.
  • Husaidia kuboresha afya ya tezi dume na pia kuikinga dhidi ya changamoto yoyote(It stimulates the building of muscle mass and melting of fat deposits in the body)
  • Finally, it acts as an amazing natural aphrodisiac.











KWANINI UTUMIE FOREVER MULTI MACA:
✅Kuongeza nguvu,stamina,kiwango cha uzalishaji mbegu na mfumo wa uzazi.








✅Kuweka sawa homoni
✅Kuimarisha kinga ya mwili na uzalishaji seli katika mwili.
✅Huboresha Changamoto za uzazi na ugumba (utasa)
✅Huboresha Changamoto za kuwahi kileleni kabla ya tendo au wakati wa tendo
✅Powerful Aphrodisiac for Men & Female.
✅Kuongeza hamu ya tendo la ndoa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.
✅Kuondoa uchovu na hali ya mwili kuchoka.
✅Kuboresha mfumo wa kibofu na kuimarisha kinga dhidi ya U.T.I na matatizo yote ya mfumo wa kibofu na mkojo.









FAIDA ZA FOREVER MULTIMACA.
1.Aphrodiasiac activity-inaongeza HAMU YA MAPENZI  kwa zaidi ya ASILIMIA 180,STAMINA NA NGUVU WAKATI WA TENDO LA NDOA NA UWEZO WA KURUDIA TENDO.
2.Inasaidia kuondoa depression(msongo wa mawazo) ivyo kuleta usingizi mtamu na wa raha zaidi
3.Inasaidia kuondoa madhara ya mvurugiko wa homoni na kuweka sawa homoni
4.Inarutubisha mayai na kuboresha vyema mfumo wa uzazi hivyo kuleta chance nzuri zaidi ya mwanaume kusababisha  ujauzito
5.Inaongeza idadi ya mbegu za kiume(sperm count kwa asilimia 200) na uwezo wa mbegu kuogolea vizuri(mobility)
6.Inabalance kiwango cha chuma mwlini
7.Inaongeza NGUVU ZA KIUME na ni nzuri kwa wanaofanya mazoez kwan ina protini nyingi zinazojenga misuli na mwili kwa ujumla.
8.Ni chakula cha ubongo ivyo inaongeza kumbukumbu na uwezo wa akili (brightness and focus)
9.Husaidia kuimarisha misuli ya uume,na kuondoa changamoto ya kulegea/kusinyaa wakati wa tendo na baada ya tendo.
10. Ina fiber(nyuzi nyuzi lishe)ambazo ni muhimu kwa mfumo mmeng’enyo  wa chakula, kupata choo laini na cha kutosha kila siku (kumbuka uchafu ukijaa tumboni,hasa kwa wasiopata choo vizuri,  husababisha kitambi kisichoeleweka, ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa, ugumba,  kinyama kuota sehemu ya haja kubwa/hemorrhoids, kutoa hewa chafu sana, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, au  kifo cha ghafla).
TAZAMA VIDEO HII UFAHAMU ZAIDI JINSI INAVYO FANYA  KAZI.












Forever Multi-maca  ipo katika mfumo wa vidonge ambao ni mchanganyiko wa mmea wa maca,mbogamboga na matunda hasa strawberries, blueberries, elderberries na mengine. Vidonge vipo 60,unatumia 2 kwa siku.
Bidhaa hii hupatikana kwa  Shs. 75000, na Ina  GUARANTEE ya siku 30.  Ubora wake umethibitishwa na shirika la viwango la kimataifa.
 Inatengenezwa na Forever Living Products, kampuni ya kimarekani iliyoanzishwa  Mwaka 1978 Nchini Marekani na ikaweka kiwanda kimoja tu huko huko marekani kuepusha uchakachuaji. Forever ina matawi katika nchi zaidi ya 160 duniani ikiwemo Tanzania.
NB: KUMBUKA, BIDHAA HII SIYO DAWA AU VIAGRA, NI LISHE ZENYE VIRUTUBISHO VINGI MUHIMU KWAAJILI YA AFYA YA UZAZI HASA MWANAUME AMBAVYO MWILI WA BINADAM UNAHITAJI NA HAVINA KEMIKALI HATARISHI ZENYE MADHARA KWA MTUMIAJI YEYOTE.
 Maswali yanayoulizwa mara kwa mara.
Je bidhaa hizi hazina madhara? 
Hakuna madhara yoyote unayoyapata unapotumia. Bidhaa zetu ni virutubisho asili visivyo na kemikali hatarishi kwa mtumiaji, hivyo vinafaa kutumiwa na mtu yeyote. Mwenye changamoto kwaajili ya kuondoa changamoto yake na asiye na changamoto kwaajili ya kuboresha zaidi mfumo wake wa afya ya uzazi. Na kwa mtu ambaye yupo katika hatua mbaya zaidi za ugonjwa ni vyema kumwona Daktari wake kwa ushauri zaidi kabla hajaanza kutumia virutubisho hivi.

Je nikianza kutumia dose ndo itatakiwa nitumie milele/muda wote?
Hapana, bidhaa zetu sio addictive, kwa maana kwamba ukianza kuzitumia hazikupi athari  kiasi kwamba usipotumia basi hutoweza kushirki tendo la ndoa kama yalivyo madawa mengine.
Bidhaa hii unapoitumia huenda kufanya kazi kuanzia katika uzalishaji seli,mifumo yote ya mwili na hivyo kurejesha utendaji kazi mzuri wa ogani zinazo husika na uzazi.
Hivyo basi kama kulikuwa na changamoto yoyote katika mfumo wa uzazi huboreshwa na pia kama kuna upungufu wowote pia huwekwa sawa na kukurejesha katika uimara ufaao.
Je kwa mtu mwenye dose ya muda mrefu kama  kisukari au pressure anaruhusiwa kutumia pia?
Ndio, bidhaa hii inavirutubisho muhimu ambavyo vinafaa kutumiwa na mtu mwenye changamoto ya pressure au kisukari. Husaidia katika kuboresha mzunguko mzuri wa damu, kuboresha utendaji kazi wa mishipa hasa kwa kuondoa mafuta mabaya ambayo hayatakiwi katika mishipa {cholesterol} na hivyo kuimarisha mishipa ya uume, tendo la ndoa na kuboresha changamoto ya kusinyaa au kulegea.
Nimetumia madawa mengi lakini sijapata matokeo, Je hii yenu itanisaidia?
Kwanza kabisa, kwa mtu ambaye ametumia madawa mengi ya kuongeza nguvu miili yao hupokea na kuhifadhi sumu mbalimbali.  Hivyobasi tunashauri mtumiaji aanze na kirutubisho chetu muhimu maalumu kwaajili ya kusafisha taka mwili /sumu mwilini ili kuweka sawa mfumo wa mwili, then baada ya hapo ataendelea na matumizi ya kirutubisho hiki cha Maca. Hapo utapata matokeo mazuri sana. 
Je nawezaje kupata bidhaa? 
Zipo njia tatu [3] ambazo waweza kutumia mojawapo kupata bidhaa.
1: FIKA KATIKA OFISI ZETU (MAKAO MAKUU) HAPA VICTORIA,DAR ES SALAAM. KWAMWONGOZO WA MAWASILIANO YANGU HAPO CHINI UTAPATA HUDUMA.
LAKINI PIA KWA DAR ES SALAAM, HUDUMA YA KUFIKISHIWA BIDHAA, USHAURI NA MWONGOZO  SEHEMU ULIYOPO (OFISINI KWAKO / SEHEMU RASMI ZA MAZUNGUMZO) HUTOLEWA.

2: KAMA UPO NJE YA DAR ES SALAAM, WAWEZA TUUNGANISHA NA NDUGU AU RAFIKI ALIYEPO HAPA DAR ES SALAAM NA AKAWEZA KUFIKA OFISINI AU KUFIKISHIWA BIDHAA ALIPO THEN ATAKUTUMIA ULIPO.

3: NJIA YA MWISHO NI WEWE KUZILIPIA BIDHAA MOJA KWA MOJA KWA NAMBA YA KAMPUNI NA UTATUMIWA BIDHAA MPAKA ULIPO, NDANI YA SAA 24 TANGU ULIPO ILIPIA BIDHAA YAKO. (USALAMA WA KUIPATA BIDHAA YAKO NI WA UHAKIKA KWA 100%)
Ili kupata bidhaa wasiliana moja kwa moja na Ndugu, CRISS BRUNO  Kwa namba +255745855427 atakupa mwongozo wa kuzipata. Lakini pia waweza mpa maelekezo ni sehemu gani unahitaji kufikishiwa bidhaaa zako na kwa siku gani kwa kumtumia ujumbe.
MUHIMU: Mambo muhimu utakayo yapata mara baada ya kuipata bidhaa.
  1. Utapata mwongozo vyema hatua kwa hatua jinsi ya kupata matokeo mazuri kwa kuzingatia lishe bora.
  2. Utapata mwongozo mzuri wa muda wa kutumia bidhaa na hii utaipata mapema sana utakapopata bidhaa zako. 
  3. Utapata support 24/7 kwa  pale utakapohitaji kuipata.

This is a time-tested, proven solution that really works, guarantee

Huu ni wakati wako sahihi wa kuboresha afya yako na kuirudisha furaha katika mahusiano yako na mwenza wako hasa katika kudumisha upendo na penzi lililo imara na salama.

HILI NI SULUHISHO SAHIHI AMBALO LIMETHIBITISHWA KUKIDHI MAHITAJI YA MTUMIAJI NA KUPATA MATOKEO BORA NA SAHIHI.
MAWASILIANO;

+255745855427

+255677563241

JIUNGE NA WHATSAPP GROUP YETU KWA KUGUSA LINK HII HAPA CHINI

https://chat.whatsapp.com/ILhTdCCbShICqCseJQoNW2








Comments

Popular posts from this blog

PUNGUZA UZITO | KITAMBI | NYAMA ZEMBE | NA JENGA MISULI KWA NJIA HII BORA NA SALAMA

By   Crispine  Bruno  - March 21, 2019 0 244 The Clean 9 Program can help you jumpstart your journey to a slimmer, healthier you. This effective, easy-to-follow cleansing program will give you the tools you need to start transforming your body today. Over the next 9 days, you can expect to look better and feel better and begin to eliminate stored toxins that may be keeping you from absorbing the maximum nutrients in your food. You’ll also begin to feel lighter and more energized as you prove you can take control of your appetite and see your body begin to change. Welcome and congratulations for taking charge of your health. I salute you! Your transformation has just began. Am proud and excited for you!? Clean 9 (C9) is a 9 day cleansing phase which is part of the Fit programme from Forever Living Products (USA) which has been here since 1978 giving amazing, highly effective and internationally u...

FAHAMU KUHUSU TEZI DUME NA NJIA ZA KUEPUKANA NAYO.

  Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo kama viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo.  Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili. Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.  Takwimu zinaonesha kwamba kati  ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.   Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume. Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali li...

EPUKA CHANGAMOTO YA MENO KUTOBOKA |KINYWA KUTOA HARUFU MBAYA | FIZI KUTOA DAMU | NA MENO KUOZA KWA KUTUMIA NJIA HII BORA NA SALAMA.

By  Criss  Bruno  - April 30, 2019 0 212 UMESHAWAHI KUJIULIZA MASWALI HAYA? 1. Kwa nini meno yanauma wakati mwanzo hayakuwa yanauma? 2. Kwa nini unang’oa jino kisha tatizo lilelile linahamia jino lingine?? 3. Kwa nini kinywa chako hata ukipiga  mswaki bado unatoa harufu mbaya? 4. kwa nini ukipiga mswaki fizi zinatoa damu? Meno  ni muunganiko wa mfupa wa jino, Fizi na Mishipa. Mara nyingi watu wengi huwa pale wanapoumwa na jino wanakimbilia kung’oa jino eti dawa ya jino kuling’oa jambo ambalo si kweli. Tambua, unapoenda King’oa jino, unang’oa mfupa wa jino ila maradhi umeyaacha ktk fizi na mishipa ndani ya kinywa. Fahamu kuwa kwenye kinywa cha mwanadamu kuna bakteria wanaoishi mdomoni wanaitwa NORMAL FRALER. Bakteria hawa ndio wanaotengeneza ute wenye Acid unaolainisha chakula kwa haraka mdomoni. Lakini wanasababisha ugonjwa unaoitwa GINGIVAITES, ugonjwa huu husababisha fizi kutoa damu haswa unapopiga mswaki, lakini ukiachw...