Maambukizi ya njia ya mkojo (UTI) husababishwa na vimelea kitaalamu hujulikana E. Coli. Vimelea hawa huishi kwenye mfumo wa chakula bila kuleta madhara yoyote wawapo humo, ila wakiingia kwenye njia ya mkojo huleta maambukizi na kusababisha ugonjwa wa UTI.
Kutokana na sababu za kimaumbile, Wanawake huathirika zaidi na ugonjwa wa UTI kuliko wanamume, hii ni kwa kwasababu kuna ukaribu zaidi katika njia hizi mbili za haja kubwa na mkojo. Na pale mtu anaponawa baada ya haja kubwa ni rahisi zaidi kuhamisha vimelea hivi vya E. Coli kwenye njia ya mkojo ambapo hujifuta kuelekea mbele. Na ndiyo sababu, kwa wanawake, hushauriwa kunawa kuanzia mbele kuja nyuma. Endapo utanawa kuanzia nyuma kuja mbele, kuna uwezekano wa kuhamisha vimelea hivi ambavyo husambaa hadi kwenye kibofu, na endapo hautotibiwa vyema, basi hupanda hadi kwenye figo.
Pia, Wanawake huathiriwa sana na UTI kwa sababu wana njia nyembamba ya mirija ya mkojo (urethra) ambayo, inawapa bakteria wa UTI urahisi wa kusafiri hadi kwenye kibofu cha mkojo. Kujamiiana pia kunaweza kunaweza kupelekea kupata bakteria wanaosababisha UTI.
Dalili Za Maambukizi Kwa njia Ya Mkojo
Maumivu wakati wa haja ndogo, na hisia ya mkojo kuchoma choma
Kubanwa na mkojo mara kwa mara
Maumivu ya kiuno na maumivu ya chini ya kitovu
Mkojo wa njano sana, na muda mwingine unatoa harufu
Uchovu
Homa
Kuna baadhi ya watu hawawi na dalili yoyote (asymptomatic bacteriuria)
Licha ya matumizi ya Dawa , sindano kwa muda mrefu wapo watu ambao wao huendelea kupata tatizo hili mara kwa mara. Ukweli ni kwamba mwili unapokuwa unapata maambukizi haya basi kinga ya mwili hushuka na hivyo hata kama utatumia madawa fulani kwa muda mrefu tatizo huweza kujirudia tena.
By Crispine Bruno - March 21, 2019 0 244 The Clean 9 Program can help you jumpstart your journey to a slimmer, healthier you. This effective, easy-to-follow cleansing program will give you the tools you need to start transforming your body today. Over the next 9 days, you can expect to look better and feel better and begin to eliminate stored toxins that may be keeping you from absorbing the maximum nutrients in your food. You’ll also begin to feel lighter and more energized as you prove you can take control of your appetite and see your body begin to change. Welcome and congratulations for taking charge of your health. I salute you! Your transformation has just began. Am proud and excited for you!? Clean 9 (C9) is a 9 day cleansing phase which is part of the Fit programme from Forever Living Products (USA) which has been here since 1978 giving amazing, highly effective and internationally u...
JE WEWE NI MWANAUME NA UNAPATA CHANGAMOTO KATIKA MFUMO WA UZAZI. FAHAMU KUHUSU MALE FERTILITY KIT YA KUBORESHA NGUVU ZA KIUME NA MFUMO WA UZAZI KWA MWANAUME. Je wafahamu vyakula na vinywaji tunavyotumia sasa vimekuwa na changamoto sana kiafya na kusababisha matatizo mbali mbali katika mwili ikiwemo Organ zetu za uzazi? Mara nyingi huwatokea wanafamilia wengi either Baba au Mama kukosa hamu ya tendo la ndoa au kama ni mwanaume kushindwa kabisa kumrithisha mwenzi wake, sasa wengine huanza kudhani labda kuna ushirikina ndani yake kumbe ni mfumo tu wa uzazi umeathiriwa na uwepo wa sumu,Magonjwa au baadhi ya vitu kutokuwa sawa katika mwili, Hivyo basi kutokana na changamoto hizo na waweza kutumia programu hii ya afya ya uzazi ya MALE FERTILITY KIT. MALE FERTILITY KIT, ni virutubisho vya asili vilivyotengenezwa na mimea na virutubishi mwili mbalimbali, vina Faida nyingi sana mwilini lakini b...
Comments
Post a Comment