Skip to main content

Posts

Showing posts from July, 2019
HELLOW!!! Habarini za siku ya leo, Moja kati ya vitu vinavyo sumbua sana watu wengi, ni umasikini, na je unajua  moa kati ya hatarikubwa sana ambayo watu wengi imewaathiri na lakini pia hawafahamu kwamba ni kitukinacho waathiri ila wanateseka sana  ninini? jibu ni moja tu ambalo ni kuwa na mkondo mmoja wakipato , watu wengi wamekuwa wakimiliki mkondommoja tuwakipato  ambapo  mara nyingi ukifeli tu ndio basi unakuta kila kitu kimeharibika, unajua wazi kwamba kuna wanaotegemea, ajira ambapo nazo huwapa changamoto kubwa sana hivi unafahamu hili?    "kama wewe umeajiriwa na mshahara hautoshi, inamaana unachangamoto ya kipato, lakini pia kama haujaajiriwa na pia hupatifedha bado unachangamoto ya kipato" na suala  watuu  wengi wanapofikia katika lever hii hufanya maamuzi ya kupunguza matumizi  maamuzi hayaa siyo sahihi,  maamuzi sahihi ni kuongeza mkondomwingine wa kipato