Skip to main content
HELLOW!!!

Habarini za siku ya leo, Moja kati ya vitu vinavyo sumbua sana watu wengi, ni umasikini, na je unajua  moa kati ya hatarikubwa sana ambayo watu wengi imewaathiri na lakini pia hawafahamu kwamba ni kitukinacho waathiri ila wanateseka sana  ninini?

jibu ni moja tu ambalo ni kuwa na mkondo mmoja wakipato , watu wengi wamekuwa wakimiliki mkondommoja tuwakipato  ambapo  mara nyingi ukifeli tu ndio basi unakuta kila kitu kimeharibika,

unajua wazi kwamba kuna wanaotegemea, ajira ambapo nazo huwapa changamoto kubwa sana
hivi unafahamu hili?    "kama wewe umeajiriwa na mshahara hautoshi, inamaana unachangamoto ya kipato, lakini pia kama haujaajiriwa na pia hupatifedha bado unachangamoto ya kipato" na suala  watuu  wengi wanapofikia katika lever hii hufanya maamuzi ya kupunguza matumizi  maamuzi hayaa siyo sahihi,  maamuzi sahihi ni kuongeza mkondomwingine wa kipato

Comments

Popular posts from this blog

PUNGUZA UZITO | KITAMBI | NYAMA ZEMBE | NA JENGA MISULI KWA NJIA HII BORA NA SALAMA

By   Crispine  Bruno  - March 21, 2019 0 244 The Clean 9 Program can help you jumpstart your journey to a slimmer, healthier you. This effective, easy-to-follow cleansing program will give you the tools you need to start transforming your body today. Over the next 9 days, you can expect to look better and feel better and begin to eliminate stored toxins that may be keeping you from absorbing the maximum nutrients in your food. You’ll also begin to feel lighter and more energized as you prove you can take control of your appetite and see your body begin to change. Welcome and congratulations for taking charge of your health. I salute you! Your transformation has just began. Am proud and excited for you!? Clean 9 (C9) is a 9 day cleansing phase which is part of the Fit programme from Forever Living Products (USA) which has been here since 1978 giving amazing, highly effective and internationally u...
JE   WEWE NI MWANAUME NA  UNAPATA CHANGAMOTO KATIKA MFUMO WA  UZAZI. FAHAMU KUHUSU  MALE FERTILITY  KIT  YA KUBORESHA NGUVU ZA KIUME NA  MFUMO WA UZAZI KWA MWANAUME. Je wafahamu vyakula na vinywaji tunavyotumia sasa vimekuwa na changamoto sana kiafya na kusababisha matatizo mbali mbali katika mwili ikiwemo Organ zetu za uzazi? Mara nyingi huwatokea wanafamilia wengi either Baba au Mama kukosa hamu ya tendo la ndoa au kama ni mwanaume kushindwa kabisa kumrithisha mwenzi wake, sasa wengine huanza kudhani labda kuna ushirikina ndani yake kumbe ni mfumo tu wa uzazi umeathiriwa na uwepo wa sumu,Magonjwa au baadhi ya vitu kutokuwa sawa katika mwili, Hivyo basi kutokana na changamoto hizo na waweza kutumia programu hii ya afya ya uzazi ya  MALE  FERTILITY  KIT. MALE  FERTILITY  KIT, ni virutubisho vya asili vilivyotengenezwa na mimea na virutubishi mwili mbalimbali, vina Faida nyingi sana mwilini lakini b...