Skip to main content
Habari yako ndugu msomaji wa makala hii, Mimi ninaitwa crispine bruno, ni mshauri wa afya na virutubisho, napenda kuonesha wadhifa wangu kwako kwamba nina uwezo mkubwa wa kushare mambo tofauti tofauti na wewe unaye soma hapa muda huu wa kuweza kupata ujuzi na njia ambazo zitakufanya uweze kutimiza malengo yako hapa duniani, je Upo tayari kuachana na mambo yasiyo ya msingi na kuweza kuambatana nami katika safari hii?
Kama jibu ni ndio basi fungua fikra zako na unijibu private au bonyeza link hapo chini uweze kuwasiliana nami katika group!!!!

Comments

Popular posts from this blog

PUNGUZA UZITO | KITAMBI | NYAMA ZEMBE | NA JENGA MISULI KWA NJIA HII BORA NA SALAMA

By   Crispine  Bruno  - March 21, 2019 0 244 The Clean 9 Program can help you jumpstart your journey to a slimmer, healthier you. This effective, easy-to-follow cleansing program will give you the tools you need to start transforming your body today. Over the next 9 days, you can expect to look better and feel better and begin to eliminate stored toxins that may be keeping you from absorbing the maximum nutrients in your food. You’ll also begin to feel lighter and more energized as you prove you can take control of your appetite and see your body begin to change. Welcome and congratulations for taking charge of your health. I salute you! Your transformation has just began. Am proud and excited for you!? Clean 9 (C9) is a 9 day cleansing phase which is part of the Fit programme from Forever Living Products (USA) which has been here since 1978 giving amazing, highly effective and internationally u...

FAHAMU KUHUSU TEZI DUME NA NJIA ZA KUEPUKANA NAYO.

  Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo kama viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo.  Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili. Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.  Takwimu zinaonesha kwamba kati  ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.   Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume. Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali li...