Skip to main content

MAGONJWA YANAYOSABABISHA WANAWAKE KUWA WAGUMBA!!*

*MAGONJWA YANAYOSABABISHA WANAWAKE KUWA WAGUMBA!!*

P.I.D(pelvic inflammatory disease) na FIBROIDS inavyotesa wanawake na kuwasababishia ugumba.

P.I.D NI NINI??

P.I.D ni maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke. Ugonjwa huu unaweza kupelekea uharibifu mkubwa kwenye mayai,mfuko wa uzazi,mirija ya uzazi nk  . Pia ugonjwa huu ni moja ya UGUMBA kwa mwanamke.Huu ni ugonjwa unaosababishwa na kutotibu magonjwa ya zinaa kwa ufasaha na kuacha wale bakteria kuendelea kusambaa kwenye via vya uzazi wa mwanamke.

*Je utajuaje kwamba huenda umeathirika na ugonjwa huu wa P.I.D ????*

*đź’ĄDALILI ZA P.I.D*
👉Maumivu ya tumbo sehemu ya chini au ya juu upande wa kulia
👉Kutokwa kwa uchafu ukeni usio wa kawaida na harufu mbaya(wengi hudhani ni fangas kumbe sio)
👉Maumivu makali na kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa
👉Maumivu wakati wa kukojoa
👉Kutapika na homa
👉Uchovu
👉Kutokwa kwa damu nyingi isiyokuwa na mpangilio wakati wa hedhi au wakati sio wa hedhi( hii dalili kubwa na huwa inafanana sana na fibroids)
👉Ugumba( unatafuta mtoto kwa muda mrefu na hupati)
👉Kukojoa mara kwa mara

*FIBROIDS NI NINI??*
*FIBROIDS ni* uvimbe ambao hutokea kwenye tumbo la kizazi ambapo uvimbe huu unaweza kuwa ndani ya kizazi(ukutani mwa kizazi) au ndani ya nyama ya kizazi au nje kwenye ukuta wa kizazi

Je utajuaje kama una fibroids?? Hebu angalia dalili zake

*đź’ĄDALILI ZA FIBROIDS*
👉Kutokwa damu nyingi kwenye via vya uzazi katikati ya mwezi au wakati wa hedhi
👉Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya(wengi wenu huwa mnakimbilia kwamba mna fangas)
👉Maumivu ya kiuno hasa wakati wa hedhi ambayo husababishwa na kizazi kujaribu kusukuma huo uvimbe
👉Tumbo kuuma sana chini ya kitovu
👉Hedhi zisizikua na mpangilio na damu hutoka nyingi mpk kupelekea wengine kupungukiwa damu na kutakiwa kuongezewa damu
👉Maumivu wakati wa tendi la ndoa(hii hupelekea achukie tendo la ndoa)
👉Kukosa kwa choo kikubwa au choo kuwa kigumu(constipation)
👉Maumivu wakati wa kukojoa
👉Kukojoa mara kwa mara
👉Ugumba(kuchelewa au kutokupata mtoto)
👉Mimba kutoka mara kwa mara

*đź’ĄKWANINI NIMEAMUA KUELEZEA KUHUSU P.I.D NA FIBROIDS?*

JIBU:
👉Ni kwa sababu wanawake wengi wakiona dalili kama kutokwa uchafu wanahisi ni FANGAS tu
👉 Wakiona mimba zinatoka mara kwa mara wengi hukimbilia kusema ni ushirikina au muhusika alikua anatoa mimba sana siku za nyuma wakati labda sio hivyo
👉Kingine mwanaume akiona mkewe hataki tendo la ndoa anahisi mkewe anamsaliti kumbe mwenzie anaumwa
👉 Lakini kubwa zaidi nimeeleza haya yote sababu dalili za magonjwa haya mawili yanafanana kwa ukaribu sana sana.

*Naamini umejifunza kitu leo, kwa ushauri na tiba karibu*

MAWASILIANO

+255677563241
+255745855427

WhatsApp link

http//was.me/255745855427

Tunapatikana
:Dar es salaam -Makumbusho
Pia tunatoa huduma mikoa yote

Comments

Popular posts from this blog

PUNGUZA UZITO | KITAMBI | NYAMA ZEMBE | NA JENGA MISULI KWA NJIA HII BORA NA SALAMA

By   Crispine  Bruno  - March 21, 2019 0 244 The Clean 9 Program can help you jumpstart your journey to a slimmer, healthier you. This effective, easy-to-follow cleansing program will give you the tools you need to start transforming your body today. Over the next 9 days, you can expect to look better and feel better and begin to eliminate stored toxins that may be keeping you from absorbing the maximum nutrients in your food. You’ll also begin to feel lighter and more energized as you prove you can take control of your appetite and see your body begin to change. Welcome and congratulations for taking charge of your health. I salute you! Your transformation has just began. Am proud and excited for you!? Clean 9 (C9) is a 9 day cleansing phase which is part of the Fit programme from Forever Living Products (USA) which has been here since 1978 giving amazing, highly effective and internationally u...
Habari yako ndugu msomaji wa makala hii, Mimi ninaitwa crispine bruno, ni mshauri wa afya na virutubisho, napenda kuonesha wadhifa wangu kwako kwamba nina uwezo mkubwa wa kushare mambo tofauti tofauti na wewe unaye soma hapa muda huu wa kuweza kupata ujuzi na njia ambazo zitakufanya uweze kutimiza malengo yako hapa duniani, je Upo tayari kuachana na mambo yasiyo ya msingi na kuweza kuambatana nami katika safari hii? Kama jibu ni ndio basi fungua fikra zako na unijibu private au bonyeza link hapo chini uweze kuwasiliana nami katika group!!!!