Skip to main content
JE   WEWE NI MWANAUME NA  UNAPATA CHANGAMOTO KATIKA MFUMO WA  UZAZI.

FAHAMU KUHUSU  MALE FERTILITY  KIT  YA KUBORESHA NGUVU ZA KIUME NA  MFUMO WA UZAZI KWA MWANAUME.



Je wafahamu vyakula na vinywaji tunavyotumia sasa vimekuwa na changamoto sana kiafya na kusababisha matatizo mbali mbali katika mwili ikiwemo Organ zetu za uzazi?
Mara nyingi huwatokea wanafamilia wengi either Baba au Mama kukosa hamu ya tendo la ndoa au kama ni mwanaume kushindwa kabisa kumrithisha mwenzi wake, sasa wengine huanza kudhani labda kuna ushirikina ndani yake kumbe ni mfumo tu wa uzazi umeathiriwa na uwepo wa sumu,Magonjwa au baadhi ya vitu kutokuwa sawa katika mwili,

Hivyo basi kutokana na changamoto hizo na waweza kutumia programu hii ya afya ya uzazi ya  MALE  FERTILITY  KIT.



MALE  FERTILITY  KIT, ni virutubisho vya asili vilivyotengenezwa na mimea na virutubishi mwili mbalimbali, vina Faida nyingi sana mwilini lakini baadhi ya faida hizo ni  kama vile; 

1.Huongeza hamu ya mapenzi, stamina na nguvu.
2.Husaidia kuondoa depression - (msongo wa Mawazo)
3.saidia kuondoa madhara ya mvurugiko wa homoni na kusikia joto kali na kuchoka  wakati wa tendo
4.Hurutubisha mayai/mbegu
5.Inaongeza idadi ya mbegu za kiume ,na uwezo wa mbegu kuogelea vizuri.
6.Inaweka sawa  kiwango cha chuma Kwenye damu.
7.Inasaidia kupromote matumizi ya glucose Kwenye damu kubadilishwa kuwa nguvu na si kugeuzwa kuwa mafuta.
8:  Ni bidhaa bora ambayo husaidia katika kuondoa changamoto ya mwanaume kuwa kufika kileleni mapema na kutorudia tendo.
9: Huboresha misuli ya usafirishaji mbegu ya uume na kuifanya kuwa imara hasa kwa walioathirika na changamoto ya kujichua kwa mda mrefu.
10: Huboresha tatizo la kusinyaa kwa uume na kutorudia tendo.
11: Husaidia kuondoa athari za kujichua kwa mda mrefu na kukufanya kuwa imara zaidi.
12: Huboresha mfumo wa mzunguko wa damu na kuondoa mafuta mabaya katika mishipa ya damu

Hii programu ni mahususi katika kuboresha mfumo mzima wa Afya ya Uzazi
Pia kwa Mwanaume mwenye Tatizo la kutosababisha ujauzito yafaa kuitumia program hii itamsaidia katika kuondokana na tatizo hilo lote.
Virutubisho hivi vimeidhinishwa na taasisi zote zinazo husika na uhakiki wa vyakula na dawa ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania.

Here is my product list for RETAIL;

 ALOE VERA GEL   TSh   71,000
 FOREVER MULTI-MACA    TSh   75,000
NATURE-MIN   TSh   45,000
 VITOLIZE FOR MEN   TSh   82,000
ROYAL JELLY   TSh   81,000
A-BETA-CARE   TSh   73,000



Programu hii waweza kuipata sehemu yoyote ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania.

KUIPATA PROGRAMU HII BONYEZA HAPA CHINI YATAKUUNGANISHA NA MSHAURI  WETU MOJA KWA MOJA KATIKA  WHATSAPP.

Piga Simu Namba Voda +255745855427

Piga Simu Namba Tigo +255677563241
         
          Whatsup Number Hii Hapa Chini
          
            https://wa.me/255745855427
        

Comments

  1. Casino Las Vegas, NV - MapYRO
    The casino features slot machines, table games 공주 출장안마 and more than 200 시흥 출장안마 table games. There is a full-service spa at this resort, along with a 화성 출장안마 fitness 여수 출장샵 center, a 안성 출장샵 hot tub

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

MAGONJWA YANAYOSABABISHA WANAWAKE KUWA WAGUMBA!!*

*MAGONJWA YANAYOSABABISHA WANAWAKE KUWA WAGUMBA!!* P.I.D(pelvic inflammatory disease) na FIBROIDS inavyotesa wanawake na kuwasababishia ugumba. P.I.D NI NINI?? P.I.D ni maambukizi kwenye via vya uzazi wa mwanamke. Ugonjwa huu unaweza kupelekea uharibifu mkubwa kwenye mayai,mfuko wa uzazi,mirija ya uzazi nk  . Pia ugonjwa huu ni moja ya UGUMBA kwa mwanamke.Huu ni ugonjwa unaosababishwa na kutotibu magonjwa ya zinaa kwa ufasaha na kuacha wale bakteria kuendelea kusambaa kwenye via vya uzazi wa mwanamke. *Je utajuaje kwamba huenda umeathirika na ugonjwa huu wa P.I.D ????* *💥DALILI ZA P.I.D* 👉Maumivu ya tumbo sehemu ya chini au ya juu upande wa kulia 👉Kutokwa kwa uchafu ukeni usio wa kawaida na harufu mbaya(wengi hudhani ni fangas kumbe sio) 👉Maumivu makali na kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa 👉Maumivu wakati wa kukojoa 👉Kutapika na homa 👉Uchovu 👉Kutokwa kwa damu nyingi isiyokuwa na mpangilio wakati wa hedhi au wakati sio wa hedhi( hii dalili kubwa na huw...

FAHAMU KUHUSU TEZI DUME NA NJIA ZA KUEPUKANA NAYO.

  Kila mwanaume anazaliwa na Tezi dume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo kama viungo vingine mwilini. Tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo.  Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili. Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi.  Takwimu zinaonesha kwamba kati  ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.   Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume. Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea, tofauti na awali li...