Kila mwanaume amezaliwa na tezi dume. tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo kama viungo vingine mwilini. tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wz mwanaumekatika shingo ya kibofu cha mkojo. kazi yaske kubwa ni kutengeneza majimaji ya uzazi wa wa mwanaume, 9shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye korodani; na husaidia mbegu za kiume zilizo kubaki hai kwa muda unaostahili Tatizo linakuja kiungo hikli kinapo anza kutanuka. kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalo wakumbawanaume wengi. Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, ...